Friday, August 17, 2007

Bwana ametoa uzima bure
na yule atakaye atapata bure

songea songea - songea
songea songea - songea
songea songea

baraka zakungojea

songea mama yangu
songea baba yangu
songea dada - songea

baraka kwake yesu

No comments: